Sunday, April 26, 2015

DEREVA WA BODABODA ANUSURIKA KIFO, MIKANJUNI TANGA


 Wakazi wa Mikanjuni Tanga wakiangalia gari aina ya Toyota ikiwa imegonga kingo za daraja eneo la Besha na kusalimika  kutumbukia katika mfereji  baada kumkwepa mwendesha pikipiki ambaye   alikuwa mwendo kasi. Davera huyo wa pikipiki (bodaboda) alikimbizwa hospitali ya Bombo kwa matibabu baada ya kuserereka chini na kuigonga gari kwa ubavuni na   kupata majeraha. mwilini  tukio lilitokea asubuhi hii.



 Wakazi wa Mikanjuni Tanga wakiangalia pikipiki baada ya dereva wa chombo hicho (bodaboda) kuserereka chini na kuigonga gari ubavuni baada ya breki kushindwa kufanya kazi eneo la Besha asubuhi hii . Dereva huyo alikimbizwa hospitali ya Bombo kwa matibabu baada ya kupata majeraha mwilini.




No comments:

Post a Comment