Majirani wamesimulia manyanyaso ya mtoto kwenye
Kuna mama alimchukua mtoto wa jirani
yake kutoka kijijini kwao Dodoma na kuja nae Dar es salaam akiahidi
kumsomesha kama alivyoahidi kwa wazazi wa mtoto huyo.
Mtoto huyo mwenye miaka tisa baada ya
kufika Dar alianza kufanya kazi zinazomzidi umri ikiwa kuchota maji kila
siku pamoja na kuamshwa usiku kufanya kazi za usafi.
Kufunga safari hadi kwa mama huyo maeneo ya
Mikocheni na kusimuliwa na majirani jinsi mtoto huyo alivyokuwa akifanya
kazi bila kusomeshwa kama alivyoahidiwa mwanzo.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapa hapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment