Mapenzi yake yalizidi kwa mbwa, akaomba azikwe nae baada ya kufariki…
Kutokana na mapenzi makubwa aliyokuwa
nayo kwa mbwa wake huyo, huenda aliona kama iwapo atatangulia kufariki
mbwa wake hatopata upendo kama anaompatia yeye.
Akiwa hai aliomba kama ikitokea yeye akafariki kabla ya mbwa wake basi wazikwe pamoja.
Mwanamke huyo Connie Lay raia
wa Indiana, Marekani aliyefariki siku chache zilizopita aliacha ombi
hilo kwa rafiki zake, atakapokufa yeye na mbwa wake wazikwe pamoja,
baada ya kufariki marafiki hao walituma ombi hilo kwa maafisa
wanaoshughulikia haki za wanyama ambaowalipinga ombi hilo.
Mbwa huyo aliyepewa jina la Bella, Lay
alitaka azikwe naye ambapo ombi hilo lilipingwa na watu wa haki za
wanyama huku wengine wakitaka kujitolea kumlea mbwa huyo ili aepukane na
adhabu hiyo ya kifo.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,kumekucha blog
No comments:
Post a Comment