Friday, December 19, 2014

KING MAJUTO NA WASANII WENGINE KIBAO PAMOJA NA WOLPER KUTOA MOVE MPYA, KALI

 Mzee Majuto,Wolper,Irene Uwoya,Quick Rocka,Kajala waungana na Manaiki kwenye hii movie mpya


Mzee Majuto,Wolper,Irene Uwoya,Quick Rocka,Kajala waungana na Manaiki kwenye hii movie mpya

.
.
Waigizaji waliopo kwenye orodha A Tanzania akiwemo, Kajala,Wolper,Mzee Majuto,Hemedy,Yusuph Mlela,Irene Uwoya,Tausi,Mama Abdul,Gabo,Duma,Flora Mvungi pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka wapo location wakiandaa filamu mpya ya Manaiki iliyopewa jina la Wake Up.
Hizi ni baadhi picha mastaa hao walizoziweka kwenye akaunti zao za instagram wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo mpya.
.
Kajala na Quck Rocka wakiwa katika maandalizi ya filamu hiyo.
.
Wolper,Kajala na Irene Uwoya wakiwa location.
.
.
.
.
.
Kajala,Flora Mvungi na  Yusuph Mlela wakiwa location kwenye maandalizi ya filamu hiyo mpya.
.
.
.
.
.
.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog

No comments:

Post a Comment