Thursday, December 18, 2014

NYUMBANI KWA MAREHEMU AISHA MADINDA

Picha 10 kutoka nyumbani kwa Mama wa Marehemu Aisha Madinda sehemu ulipo msiba


Picha 10 kutoka nyumbani kwa Mama wa Marehemu Aisha Madinda sehemu ulipo msiba

.
.
Mazishi ya mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda yaliyokuwa yafanyike leo yameahirishwa kutokana na mwili wake kuendelea kufanyiwa uchunguzi Hospitali na mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho baada ya uchunguzi huo kukamilika.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka nyumbani kwa Mama wa Marehemu ambapo shughuli zote zinazofanyika Kigamboni Dar es Salaam.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,kumekucha blog

No comments:

Post a Comment