Wednesday, December 3, 2014

Tunaadhimisha siku ya walemavu

 Wazazi wenye watoto wenye ulemavu na wakazi wa Tanga wakishirikia katika maandamano ya kuadhimisha siku ya walemavu Duniani yaliyoratibiwa na kituo cha watoto wenye ulemavu wa viungo Tanga (YDPC)




No comments:

Post a Comment