Friday, December 19, 2014

YAMETIMA

Baada ya ule mvutano wa muda mrefu ndoa ya Mama wa Kim Kardashian imefikia hapa…


Baada ya ule mvutano wa muda mrefu ndoa ya Mama wa Kim Kardashian imefikia hapa…

jenner
Sasa imethibitika rasmi kuwa Kris Jenner na mumewe Bruce Jenner wametalikiana baada ya kukaa kwa muda mrefu wakiwa wametengana.
Jaji wa mahakama ya mjini Los Angeles alisaini nyaraka hizo lakini hakua tayari kuziweka wazi mpaka itakapofika mwezi Machi mwakani ili kutimiza masharti ya takala hiyokisheria ambayo ni mpaka baada ya miezi sita.
Kwa masharti ya talaka hiyo ilionyesha kuwa Kris ataendelea kuihudumia familia yake  huku wakigawana mali za benki na mali nyingine na kisheria Kris anatakiwa kumlipa mumewe dola z Kimarekani milioni 2.5 ili waweze kulingana.
2nd Annual Derby Spectacular Celebration
Wawili hao wlaiachana tangu Oktoba mwaka jana baada ya miaka 22 ya ndoa yao.
“Tmeishi kwa kufanana lakini kila mmoja alikua na furaha na mwenzake na pia tulikua tunaheshimiana ingawa hatukua pamoja,siku zote tutaendelea kubaki marafiki na familia yetu tutaendelea kuipa nafasi,”Alisema Kris.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupiti,kumekucha blog

No comments:

Post a Comment