Tuesday, April 7, 2015

SOKONI NGAMIANI

 Mfanyabiashara wa mchicha soko la Ngamiani Tanga, Ramadhani Ally, akipanga mchicha na aina za mbogamboga nyengine. Mchicha kifungu kimoja kilikuwa kikiuzwa shilingi 500.



No comments:

Post a Comment