Hivi ndivyo mastaa hawa wakongwe wa soka ZIDANE, RONALDO NA OKOCHA walivyokutana…(PICHAZ)



Timu ya Zidane ilishinda kwa mabao 9-7 dhidi ya ile ya Ronaldo katika mchezo uliovutia mashabiki wengi.

Wakongwe wengine waliofanikiwa kuwepo kweye pambano hilo ni pamoja na Clarence Seedorf, Fabian Barthez, Jay-Jay Okocha na Gianluca Zambrotta .

No comments:
Post a Comment