Friday, August 21, 2015

BANDARINI DEEP SEA

  Wakazi wa Tanga wakinunua samaki soko la Deep Sea bandari ya Tanga jana. Wachuuzi hao wamekuwa wakilalamika kukosa vyumba vya kuuzia samaki wao na kuwa kero wakati wa mvua na jua.





No comments:

Post a Comment