Wednesday, August 26, 2015

MASHA USIKU MMOJA SEGEREA TOSHA

MASHA AACHIWA KWA DHAMANA

aliekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha leo ameachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana.
Masha, ambaye anashitakiwa kwa madai ya kuwazuia Polisi wasifanye kazi ikiwa ni pamoja na kuwatolea lugha ya matusi. Jana alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo alisomewa mashtaka ambayo aliyakana lakini ikalazimika kupelekwa mahabusu ya Segerea baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.

No comments:

Post a Comment