Thursday, August 20, 2015

BIASHARA KITUO CHA MABASI , SEGERA

 Wafanyabiashara kituo kidogo cha mabasi cha Segera Wilayani Handeni Mkoani Tanga, wakitafuta wateja kuwauzia bidhaa zao katika madirisha ya mabasi na daladala kama walivyokutwa jana kituoni hapo.
Wafanyabiashara hao wamekuwa wakifanya kazi zao katika mazingira magumu kwani wamekuwa hawaaminiwi na wateja kutokana na kutokuwa na sare za kuwatambulisho kama wafanyabiashara kituoni hapo.
Hii imekuja kutokana na baadhi ya abiria kuibiwa na watu wanaofanya biashara kituoni hapo na kujitambulisha kama wafanyabiashara huku wakidaiwa kuwa ni waizi na hivyo abiria kutokuwa na imani nao




No comments:

Post a Comment