Mfanyabiashara soko kuu la Ngamiani
Tanga, Ramadhan Omary, akipanga mabilingani na samaki aina ya Perege kusubiri
wateja. Bilingani moja lilikuwa likiuzwa shilingi 500 na perege mmoja aliikuwa
aikuzwa kwa shilingi 1,000 hadi 1,500 kulingana na ukubwa wake.
Wafanyabiashara hao wamekuwa wakilalamika bidhaa zao kukosa wateja kufuatia kuzuka kwa biashara mitaani ambako huwa hawalipi ushuru wala leseni.
Hii imekuwa kero na baadhi ya wafanyabiasha hao kutishia kugoma kulipa ada ya ushuru wa soko.
No comments:
Post a Comment