Thursday, August 27, 2015

MESSI MCHEZAJI BORA ULAYA

Lionel Messi atangazwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya 2014/2015.

Hatua ya upangwaji makundi ya UEFA yaliambatana sambamba na kumchagua mchezaji bora wa mwaka wa Ulaya, waliyokuwa wanawania tuzo hiyo ni Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez.
messiwin
Lionel Messi ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya kwa mwaka 2014/2015, hiyo ni kauli ya Messi baada ya kutangazwa mshindi.
485392272
“Ni furaha kwa wote hii ni kwa ajili ya wachezaji wenzangu wote kwa sababu bila ushirikiano mimi nisingekuwa hapa hii tuzo ni kwa ajili ya timu nimefurahi sana”>>> Messi
Hii ni video ya Messi akitangazwa mshindi

Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment