Liverpool vs West Ham nimekuwekea hapa
Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi mbili za mwanzo na
kutoa sare moja, klabu ya Liverpool . Jana imeanza kuonja joto ya jiwe
katika Barclays premier league.
Wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Anfield – Liverpool wamepoteza mchezo wao wa kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha 3-0 kutoka West Ham.
Magoli ya West Ham ambao walifungua ligi kwa kuifunga Arsenal – yalifungwa na Lanzini katika dakika ya 3, Noble akaongeza la pili dakika ya 29, Sakho akafunga biashara kwa kushindilia msumari wa mwisho dakika ya 90.
Vikosi vilipangwa hivi: Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Lovren, Gomez (Ibe 78), Can (Moreno 45), Lucas, Milner, Firmino (Ings 61), Benteke, Coutinho.
Subs not used: Sakho, Origi, Bogdan, Rossiter.
Booked: Lucas, Ings, Clyne.
Sent off: Coutinho 52.
West Ham: Randolph, Tomkins, Reid, Ogbonna, Cresswell, Kouyate, Obiang, Noble (Oxford 81), Lanzini, Sakho (Cullen 90), Payet (Jarvis 88).

No comments:
Post a Comment