Sunday, August 30, 2015

MOPEROO YAKABIDHIWA PIKIPIKI 20 KUKOPESHANA

 Mgombea Ubunge jimbo la Tanga mjini, Omari Nundu, (CCM)  akijaribu moja ya pikipiki 20 zilizotolewa na Kampuni ya Tanzania Chinas Traders and Tourism Development kwa Umoja wa Madereva wa pikipiki na Bajaj (Moperoo Investment) lengo likiwa ni kukopeshana kwa gharama nafuu na  hafla kufanyika jana mtaa wa Mtupie kata ya Chumbageni Tanga.


  Mgombea Ubunge jimbo la Tanga mjini, Omari Nundu (CCM), akimkabidhi dereva wa pikipiki, Mohammed Khalfan moja ya kikipiki 20 zilizotolewa na kampuni ya Tanzania Chinas Traders and Tourism Development kwa Umoja wa Madereva na Bajaj  (Moperoo Investment ) lengo likiwa ni kukopeshana kwa gharama nafuu hafla iliyofanyika jana mtaa wa Mtupie kata ya Chumbageni Tanga.
 Madereva wa pikipiki maarufu kama Bodaboda Tanga, wakiwa wamepanda pikipiki zilizotolewa na kampuni ya Tanzania Chinas Traders and Tourism kwa Umoja wa Madereva na Bajaj Tanga (Moperoo Investment ) ikiwa lengo ni kukopeshana kwa gharama nafuu hafla iliyofanyika jana mtaa wa Mtupie kata ya Chumbageni Tanga.


No comments:

Post a Comment