Peremende zenye bangi zauzwa Kenya
Wizara ya afya nchini Kenya imetoa orodha ya peremende, keki na biskuti bidhaa ambazo inadai zimewekwa bangi jambo ambalo limewashtua watu wengi wakiwemo wanafunzi wa shule na watoto nchini humo. keki na
mandazi zilipatikana
zikiwa na bangi baada ya kufanyiwa uchunguzi.Kupitia kwa barua kwenda kwa wakuu wa afya wa kaunti zote 47 nchini Kenya, wizara ya afya imewaamrisha maafisa kukagua maduka yote, maduka ya jumla na sehemu zingine bidhaa hizo zinaweza kupatikana.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment