Tuesday, August 25, 2015

KUTOKA MSIBANI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA, OTHMAN CHANDE CHUMBAGENI, TANGA

 Wakazi mbalimbali wa jiji la Tanga na maeneo ya jirani wakiwa msibani kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande nyumbani kwake Chumbageni Tanga leo kufuatia kifo cha mtoto wake Said Othman kilichotoke jana na kuzikwa makaburi ya Chumbageni Tanga

 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Gharib Bilal akiwasili nyumbani kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande nyumbani kwake Chumbageni Tanga leo, kufuatia kifo cha mtoto wake, Said Othman kilichotokea jana na kuzikwa leo makaburi ya Chumbageni.


 Makamo wa Rais akinong'onezwa jambo msibani leo
 Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe nae alikuwa miongozi mwa viongozi mbalimbali wa chama na Serikali waliofika katika msiba wa mtoto wa Jaji Mkuu wa Tanzania Othman Chande kufuatia kifo cha mtoto wake , Said Othman
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika makaburi ya Chumbageni akishuhudia mazishi ya mtoto wa Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman Chande kufuatia kfo cha mtoto wake, Said Othman kilichotokea jana jijini Dar es Salaam na kuzikwa leo. Rais Kikwete aliwasili makaburini hapo saa 10 dakika 25 na kuwahi sunna hiyo kubwa ya kuzika.

No comments:

Post a Comment