Tuesday, August 18, 2015

HIFADHI YA TAIFA TANZANIA YAWAZINDUA WATANZANIA KUFANYA UTALII WA NDANI



 Afisa Utalii Hifadhi ya Taifa Saadan, Anjela Mnyaki, akizungumza wakati  wa kongamano la kampeni  la Uhamasishaji  Watanzania kutembelea vivutio vya ndani  vya utalii  lilofanyika Leo  Tanga.




 Washiriki wa kongamano la Utalii wa ndani lililoitishwa na Hifadi ya Taifa Tanzania wakifuatilia maelezo ya namna ambavyo Watanzania wanashindwa kutembelea vivutio vya ndani vilivyopo vikiwemo vya Hifadhi ya Saadani na Mkomanzi ambazo zote ziko Mkoani Tanga
 Mhifadhi Utalii hifadhi ya Taifa ya Saadan, Pelagy Marandu, akizungumza wakati wa kongamano la kampeni la uhamasishaji Watanzania kutembelea vivutio vya ndani vya utalii lililofanyika leo Tanga.




 Kaimu mtendaji masoko Hifadhi ya Taifa ya Saadan, Victor Ketansi, akizungumza wakati wa kongamano la kampeni la uhamasishaji Watanzania kutembelea vivutio vya utalii lililofanyika jana Tanga.



Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment