Monday, August 24, 2015

VIWANJA 10 KATIKA HISTORIA UINGEREZA

Viwanja 10 kati ya 54 ambavyo vipo katika historia ya Ligi Kuu Uingereza

Ikiwa zimepita siku kadhaa toka Ligi Kuu Uingereza ianze, nimeona nikusogezee viwanja 10 bora vinavyotumika na vilivyotumika katika historia ya Ligi Kuu Uingereza.
10.
Goodison-GETTY-2_3392098k
Goodison Park, Everton ni uwanaja unaotumiwa na klabu ya Everton ya Uingereza kama uwanja wa nyumbani toka mwaka 1992 una uwezo wa kuingiza watu 39,572 katika mechi moja.

9.
Craven-GETTY_3390163k
 Craven Cottage ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Fulham wameutumia kama uwanja wa nyumbani kwa nyakati mbili tofauti toka mwaka 2001-2002 na 2004-2014 uwanja una uwezo wa kuchukua watu 25,700.
8.
Villa-PA_3390192k
Villa Park ni uwanja wa nyumbani wa Aston Villa toka mwaka 1992 na una uwezo wa kuchukua: 42,788

7.
Editorial use only. No merchandising. For Football images FA and Premier League restrictions apply inc. no internet/mobile usage without FAPL license - for details contact Football Dataco Mandatory Credit: Photo by IPS/REX Shutterstock (4786935bi) A ground view of Stamford Bridge from the Matthew Harding Stand, Chelsea v Sunderland, Barclays Premier League, Stamford Bridge, London, Britain Chelsea v Sunderland, Barclays Premier League, Football, Stamford Bridge, London, Britain
Stamford Bridge uwanja wa nyumbani wa Chelsea toka mwaka 1992 Uwezo wa mashabiki : 41,798
6.
Arsenal_Stadium_Highbury_east_facade
Highbury uwanja wa zamani wa Arsenal wameutumia toka mwaka 1992-2006 Uwezo wa kubeba mashabiki : 38,419
5.
Etihad-ACTION_3390153k
Etihad Stadium Uwanja wa Manchester City ambao wamekuwa wakiutumia toka mwaka 2003 Uwezo: 55,000
4.
Anfield-GETTY_3390124k
Anfield ni uwanja wa Liverpool toka mwaka 1992 Uwezo: 45,522
3.
NEWCASTLE UPON TYNE, ENGLAND - MARCH 04: A general view inside the stadium prior to the Barclays Premier League match between Newcastle United and Manchester United at St James' Park on March 4, 2015 in Newcastle upon Tyne, England. (Photo by Laurence Griffiths/Getty Images)
St James’ Park uwanaja wa nyumbani wa Newcastle United toka mwaka 1993-2009, 2010 hadi sasa Uwezo: 52,405
2.
HAWKES-EMIRATES-DN_2837290k
Emirates Stadium Uwanja wa klabu ya Arsenal kwa mara ya kwanza wameutumia mwaka 2006 hadi sasa Uwezo : 60,432
1.
OldTrafford-GETTY_3390179k
Old Trafford uwanja wa klabu ya Manchester United toka mwaka 1992 Uwezo: 75,731
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment