Wednesday, August 26, 2015

MAJI YAFURIKA NA KUTISHIA KUINGIA KATIKA MAKAZI YATU BARABARA YA 6 TANGA

  Mkazi wa barabara ya 6 Ngamiani Tanga, Khalid Seif, akitazama mfereji uliojaa maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa jana na kuzuia maji kutembea  baada ya takataka kuzuia maji kupita na kutishia maji kuingia katika makazi ya watu. 
Vipi nawe katika eneo lako kuna kero yoyote iwe ni jua au mvua, usiache kunijulisha hpahapa tangakumekuchablog





No comments:

Post a Comment