Tuesday, August 25, 2015

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MTOTO WA JAJI MKUU, TANGA

 Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Othaman Chande akiweka udongo katika kaburi la mwanawe, Said Othaman aliefariki juzi jiji Dar es Salaam na kuzikwa katika makaburi ya Chumbageni Tanga Leo jioni hii, anaemfuatia ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka udongo  katika kaburi la mtoto wa Jaji Mkuu wa Tanzania, Said Othman Chande  aliefariki juzi jijini Dar Es Salaam  na kuzikwa katika makaburi ya Chumbageni Tanga leo jioni hii.
Ili kujua viongozi wa kitaifa na vyama walioshiriki katika mazishi hayo, usiwe mbali nami nitakusogezea na kutambua wote waliohudhria hapa hapa tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment