Monday, August 31, 2015

ALLINCE FOR DEMOCRATIC CHENGE (ADC) TANGAMANO , TANGA

  Wafuasi wa Chama Cha Allince For Democratic Change wakiwa katika mkuatano wa ufunguzi wa kampeni za Urais uliofanyika katika uwanja wa Tangamano Tanga jana.




 Mgombea Urais wa Zanzibar, Hamadi Rashid akimtambulisha mgomea Urais wa Jam,huri ya Muungano wa Tanzania kupitia cha cha Allince For Democratic Change, (ADC), Lutalosa Yemba katika mkutano wa ufunguzi katika uwanja wa Tangamano Tanga jana.
 Mgombea Urais kupia chama cha Allince For Democratic Change (ADC) Lutalosa Yemba akiwahutubia wafuasi wa chama hicho jana katika ufunguzi wa kampeni za Urais uliofanyika katika uwanja wa Tangamano jana.



No comments:

Post a Comment