Ile kolabo ya A.Y ft Sean Kingston, Ms Triniti yaanza kuonekana kwenye kituo hiki kikubwa cha TV
Video ya hit song Touch Me ya Ambwene Yessaya aka A.Y
aliyowashirikisha Sean Kingston na Ms Triniti tayari imepitishwa
kuoneshwa kwenye kituo kikubwa cha TV Channel O ambacho hucheza videos
zenye ubora wa kimataifa.
Leo Dec 23 A.Y amehabarisha kupitia twitter kuhusu video yake kuanza kupata airtime kwenye kituo cha channel O.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia ,kumekucha blog

No comments:
Post a Comment