
Siku
hizi pikipiki maarufu kama bodaboda pamoja na Bajaji pamoja na baadhi
ya magari, yamekua yanachekesha wengi barabarani kutokana tu na maneno
waliyoyabeba.
Kutana na hii inayowahusu Wanaume wote wanaochelewachelewa kuoa.

Hutopitwa na stori inayonifikia na niko tayari kukutumia muda na wowote kupitia
www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment