Thursday, April 9, 2015

MAN CITY NA MIPANGO YAKE YA KUIMASRISHA KIKOSI CHAKE MSIMU UJAO

Manchester City na mipango yake kwa nyota hawa

playKlabu ya Manchester City iko mbioni kuwanyakua nyota wa klabu ya Liverpool kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chake kufuatia matokeo mabaya msimu huu.
Baadhi ya majina ya nyota ambao klabu hiyo imepanga kuwanyakua kwa gharama yoyote ni pamoja na Mbrazil Phillipe Coutinho, nyota wa England Raheem Sterling pamoja na Jordan Henderson.
philipeKwa mujibu wa Mwenyekiti wa klabu hiyo amesema wamepanga kutumia mamilioni ya fedha kununua wachezaji wapya watakaoongeza nguvu ndani ya timu hiyo.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment