Maseneta Marekani walikataa Russia isiandae WORD CUP 2018, FIFA imejibu hivi..

March 2014 iliwahi kuripotiwa kwamba Seneta Mark Kirk na Dan Coates waliwahi kuandika barua kuiomba FIFA iifute Russia uanachama wa Shirikisho hilo la Soka.
Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano FIFA, Delia Fischer aliandika barua ya majibu ya ombi hilo kwamba FIFA haiko tayari kukubaliana nao; “The boycott of sports or policies of isolation or confrontation are not the most effective ways of solving problems“.
Maseneta hao pamoja na John McCain
ambaye aliwahi kugombea Urais wa Marekani 2012, waliandika barua FIFA
kuliomba Shirikisho hilo kuizuia Russia kuandaa michuano ya World Cup 2018.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment