Mama na mtoto wake walizaa na mwanaume mmoja.. Unajua wanachohofu kutokea baadae?
Kitu cha kwanza mama huyu anasema haoni 
sababu kumchukia mtoto wake kwa kitu ambacho kimetokea zaidi ya miaka 
miwili iliyopita; “There is no need to hate my daughter for something that happened more than two years ago..“– Mildred Mashego.
Hii imetokea Mpumalanga, South Africa… Mildred na mtoto wake wa kike, Patricia Mashego walijifungua
 mwezi August 2012, lakini ikawa story kwenye Headlines baada ya kujua 
kwamba mwanaume aliyewapa ujauzito ni mmoja!!
Vincente Malumane ni mwanaume ambaye aliwapa ujauzito wanawake hao, alikubali kwamba ni kweli anahusika na ujauzito huo lakini hakujua kwamba Mildred na Patricia ni mtu na mtoto wake.
Mildred alichukizwa baada ua kuujua ukweli, japo anasema anamchukia Vicente ila
 hana kinyongo chochote na mtoto wake.. Wanawalea watoto wao pamoja, 
hofu waliyonayo kwa sasa ni jinsi ambavyo watawaelezea watoto wao 
watakapokua wakubwa.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

 
No comments:
Post a Comment