Mazingira mapya ya Steven Gerrard baada ya kuondoka Liverpool…(Pichaz)
Mwishoni mwa msimu huu kiungo wa Liverpool Steven Gerrard atakuwa akiiaga timu yake hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 17 na kuhamia katika klabu mpya ya Galaxy ya Marekani ambapo ametengewa dau kubwa kwa ajili ya kwenda kuitumikia.
Galaxy
imemwandali kiungo huyo hatari na kipenzi cha mashabiki wengi maisha
mazuri akiwa na timu hiyo ikiwa ni pamoja na mshahara mzuri na jumba la
kifahari ambalo unaambiwa thamani yake ni pauni milioni 16.8.
Gerrard atahama Liverpool akiwa tayari amedumu kwa miaka 17 sambamba na mkewe Alex na mabinti zake watatu katika jumba hilo lililopo kwenye ufukwe wa Malibu Magharibi mwa Marekani.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment