Tuesday, August 11, 2015

BIASHARA POPOTE

 Wafanyabiashara maarufu kama Wamachinga wakiwa wamepanga viatu vyao chini kituo kidogo cha  mabasi yaendayo Wilayani manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro na kuwa kero kwa wapita kwa miguu kama walivyokutwa leo




 Mfanyabiashara maarufu kama Mmachinga, Recho Michael, akipanga viatu vyake vya utamaduni wa Kimasai kituo kidogo cha Mabasi yaendayo Wilayani Mkoani Kiliomanjaro leo

Mfanyabiashara wa viatu maarufu kama Mmmachinga, Omary Seif, akiwa amesimama na bango lake likiwa limesheheni viatu vya utamaduni wa Kimasai kituo kidogo cha mabasi yaendayo Wilayani   manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro kama alivyokutwa leo


No comments:

Post a Comment