Saturday, August 1, 2015

KAMPUNI YA MAGARI YA VOLKSWAGENI KIDEDEA

Kampuni iliyoongoza 2015 kwa kuuza magari mengi duniani ni……. (sio Toyota)

CNN
Data za mauzo ya magari kwenye miezi sita ya mwanzo ya mwaka 2015 zinaonyesha kwamba kampuni ya Ujerumani Volkswagen ndio imeshika namba 1 kwa mauzo ya magari kwenye nchi mbalimbali za dunia na kuipiku Toyota ambayo imeuza magari MILIONI 5.02 huku Volkswagen ikiuza kwa MILIONI 5.04
Pamoja na hizo takwimu, bado Toyota inafanya vizuri kwenye soko la Afrika kutokana na magari yake kuwa imara na yanayoweza kumudu miundombinu mibovu ya barabara Afrika lakini pia upatikanaji wa spare na bei zake kuwa nafuu kumezidi kuwavutia Waafrika wengi.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog,

No comments:

Post a Comment