Dakika 90 zimekamilika kote.. Yanga VS Coastal Union.. Azam FC VS Mbeya City na matokeo yako hapa..

Azam na Mbeya City wamekamilisha ratiba kwa kutoka sare ya goli 1-1 ambapo goli zote zilipatikana kati ya dakika 60 na 65 ya mchezo huo.
Kwa upande wa Yanga SC na Coastal Union, Yanga wametoka kifua mbele kwa ushindi wa goli 8-0 dhidi ya Coastal ya Tanga.
No comments:
Post a Comment