Viongozi wa dini mbalimbali wakiwa katika warsha siku
mbili ya kujengewa uwezo ya mahusiano ya dini na amani ya nchi yaliyoratibiwa
na Would Vision na kufanyika Tanga leo.
Sheikhwa Taasisi
ya Bilal Muslim tawi la Tanga, Mohammed Mbarouk, akichangia mada wakati wa
warsha ya siku mbili ya mahusiano ya Dini na amani ya nchiyaliyoandaliwa na Shirika la Would Vision na
kufanyika leo Tanga.
No comments:
Post a Comment