Teke la Beki wa Slovakia kwa Daniel Kolar wa Czech kwenye headlines…
Matukio
ya ajali za uwanjani yamekuwa yakiripotiwa kila wakati na tayari kuna
rekodi ya matukio makubwa yaliyowahi kutokea viwanjani na kuleta madhara
makubwa kwa wachezaji husika.
Jana kulikuwa na ratiba ya mechi za
kirafiki kwa nchi mbalimbali duniani ikiwemo ile ya England kutoka sare
ya 1-1 dhidi ya Italy ikiwa ugenini pamoja na ile ya Slovakia kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech.
Wakati Slovakia jana ikiibuka na ushindi huo katika mchezo wa kirafiki beki wa timu hiyo Martin Skartel alimpiga teke la uso Daniel Kolar wa Czeck na kumsababishia maumivu makali.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia , niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment