Hawa ndio mabeki wanaomsumbua zaidi Neymar dimbani
Huku akiwa anajulikana kwa kuwa wembe mbele ya mabeki tofauti barani Ulaya, staa wa klabu ya Barcelona mbrazil Neymar Jr. amewataja mabeki wagumu zaidi ambao humsumbua zaidi pale anapokutana nao dimbani.
“Ni vigumu kusema, kuna mabeki wengi wa kiwango cha juu. Ramos, Mascherano, Pique na Thiago Silva – wapo wengi sana,” alisema Neymar alipokuwa akihojiwa na FIFA.com

No comments:
Post a Comment