Mfanyabiashara soko kuu la Ngamiani Tanga, Abubakary Omary
akipima ubuyu na kuweka katika
visadolini. Kisadolini kimoja cha ubuyu kilikuwa kikiuzwa kwa 1,000.
Tanga ni mmoja wa Mikoa inayolima kilimo cha ubuyu na inadaiwa ni Mkoa wa tatu kwa kilimo hicho.
No comments:
Post a Comment