Monday, January 11, 2016

ADHA YA USAFIRI , MBUNGE ACHOSHWA

  Mbunge wa jimbo la Tanga mjini  Mussa Mbarouk (CUF) akizungumza na wasafiri na madereva wa mabasi yaendayo Wilayani kituo cha mabasi cha muda   Mwembe Mawazo kusikiliza kero zinazoowakabili baada ya kuhamishwa kituo cha Ngamiani, kituo hicho kimekuwa kero baada ya kutokuwa na huduma muhimu ya choo na banda la  wasafiri kujinga na mvua na jua .




 Wasafiri kutoka Maramba, Daluni, Kasera na Horohoro Wilayani Mkinga wakichukua mizigo yao kituo cha muda cha  mabasi  Mwembe Mawazo baada ya kituo cha Ngamiani kutotakiwa kushusha abiria na  kuwa kero baada ya kituo hicho kutokuwa na huduma ya choo na banda la kujinga na mvua na jua.

No comments:

Post a Comment