Sunday, January 17, 2016

BIASHARA YA UBUYU SOKONI NGAMIANI TANGA

 Mfanyabiashara wa Ubuyu soko la Ngamiani Tanga, Ayuob Omary, akiweka sawa bidhaa yake kusubiri wateja, Ubuyu kisadolini kimoja kilikuwa kikiuzwa 500 na ndoo ya ubuyu ya  lita 20 ilikuwa ikiuzwa kwa 2,00.


 Mfanyabiashara wa Ubuyu soko la Ngamiani Tanga, Bakari Mohammed, akitayarisha bidhaa yake kwa kusubiri wateja, kisadolini kimoja cha ubuyu kilikuwa kikiuzwa kwa 500 na ndoo ya lita 20 ilikuwa ikiuzwa kwa 2,000.




No comments:

Post a Comment