Tuesday, January 26, 2016

RAMIRES AIBUKIA CHINA

Hili ndio dau lililompeleka Ramires klabu ya China…

Kiungo wa Chelsea Ramires amefunga mjadala baada ya kukubali kwenda kuichezea klabu ya Jiangsu Suning iliyopo China.
Ramires mwenye miaka 28 ambaye pia anaichezea timu ya Taifa ya Brazil alishawahi kuichezea klabu ya Benfica mwaka 2010 na sasa klabu hiyi ya china imekubali kutoa dau la Euro milioni 25 kumnasa kiungo huyo.
Ramires ni moja ya wachezaji walioisaidia Chelsea kwa kiasi kikubwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu uliomalizika pamoja na ligi ya mabingwa.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa Tangakumekuchablog

No comments:

Post a Comment