Tuesday, January 5, 2016

BIASHARA MAEMBE, SOKO LA MLANGO WA CHUMA TANGA

 Mfanyabiashara wa maembe soko la Mlango wa Chuma Masiwani Tanga , Abdi Singano, akitandaza maembe aina ya Eple, wafanyabiashara hao wamekuwa wakilalamika kukosa soko la uhakika la kuuzia maembe yao na kudai ifikapo misimu ya maembe huingia hasara kwa kuwaozea mashambani.


 Wafanyabiashara soko la Mlango wa Chuma Tanga, Abdi Singano (kulia) na Abdalla Issa (kushoto) wakitandaza maembe kusubiri wateja baada ya kukosa soko maalumu la uhakika la kuuzia matunda yao na kulalamika misimu ya maembe ifikapo huingia hasara kwa kuwaozea mashambani.

No comments:

Post a Comment