Monday, January 18, 2016

KILIMO KWANZA

  Mkulima wa bamia shamba la Chumvini Tanga, Vicent Lugendo, akivuna bamia na kupeleka sokoni, Wakulima wa bamia wameiomba Serikali kuwakopesha mashine za umwagiliaji maji ili kuweza kukiendsha kilimo chao na kuacha kutegemea mvua za msimu ambazo hazina uhakika.





No comments:

Post a Comment