Tuesday, January 26, 2016

CHAKE CHAKE PEMBA

 Wakazi wa mji wa Chake Chake kisiwani Pemba wakiwa katika hekaheka mtaa wa kuingia kituo cha Daladala maarufu kama mtaa wa biashara, Mji wa Chake Chake uko na piripirika nyingi za kibiashara ambapo wageni kutoka nje ya Pemba hufika na kununua bidhaa kwa ajili ya biashara na matumizi ya mtu binafsi.










No comments:

Post a Comment