Monday, January 25, 2016

JUU KWA JUU, KUTOKA PEMBA HADI TANGA

 Kutoka picha ya kwanza hadi ya 8, mji wa Chake Chake Pemba muonekano wake kutoka angani, mji huo ambao ndio mji mkuu Kisiwani Pemba umekuwa na msongamano mkubwa wa watu na magari kutoka na uingiaji wa watalii kutoka kila pembe ya Duania wanaofika kwa kutalii, Kisiwa cha Pemba kiko na historia kubwa na utamaduni ambao umekuwa ukiendelezwa hadi leo hii jambo ambalo limekuwa kivutio kikubwa kwa wageni.
Pemba unajumuisha miji mikubwa mitano, Mkoani, Chake Chake, Wete, Konde na Micheweni.






 Muonekano wa jiji la Tanga kutoka angani

No comments:

Post a Comment