Thursday, January 7, 2016

JICHO LA TANGAKUMEKUCHA MTAANI

 Chemba mtaa wa Ringi Mkwakwani Tanga ikitiririsha majia machafu barabarani na kuwa kero kwa watumiaji wa vyombo vya moto na wapita kwa miguu ambapo baadhi ya magari yamekuwa yakipita kwa kasi na kuwarushia maji machafu yenye kinyesi na kuwa kero.




No comments:

Post a Comment