Sunday, January 17, 2016

WANAFUNZI PITENI POLE POLE

  Askari wa Usalama Barabarani Tanga akiwavukisha barabarani  wanafunzi shule ya msingi Darajani jana, Shule zote zimefunguliwa baada ya likizo ya mwaka.
Serikali imekuwa ikiwahimiza wazazi na walezi kutoacha kuwapeleka watoto shule na imetoa agizo la kila mtoto mwenye umri wa kwenda shule impeleke ili kuweza kupata elimu na kumsaidia maishani




No comments:

Post a Comment