Monday, January 25, 2016

MICHEWENI KISIWANI PEMBA



 Mkazi wa Maziwa Ng’ombe Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba, Bakari Mfaume, akibanja mawe kupata kokoto, vibarua wengi wamekuwa wakitumia nyundo ambayo huwasababishia madhara wakati wakibanja.
Wilaya ya Micheweni ndio Wilaya pekee kisiwani Pemba inayotoa mawe ya kujengea nyumba ambapo wakazi wote kisiwani humo huchukua mawe kokoto  kutoka Micheweni.
Serikali imekuwa ikitoza ushuru wa shilingi 7,500 kila gari kama ada jambo ambalo imekuwa ikifaidika na tozo hiyo.
Hata hiyo kwa upande wa wadau wamekuwa wakiilalamikia Tozo hiyo na kusema kuwa ni kubwa sana ambapo kuna gharama nyingi ikiwemo ununuzi wa mawe pamoja na upakiaji  hivyo kutaka itozwe 5,000.
 







No comments:

Post a Comment