Thursday, January 21, 2016

MUONEKANO WA JIJI LA TANGA KUTOKA ANGANI

  Muonekano wa jiji la Tanga kutoka angani kama linavyoonekana kutoka juu. Jiji hilo ambalo limepangika kimtindo wa barabara za namba kutoka 1 hadi 21 inaelezwa kuwa ni moja ya miji maarufu duniani iliyochorwa ramani na kupangika.



No comments:

Post a Comment