Friday, January 8, 2016

JICHO LA TANGAKUMEKUCHA MTAANI

 Mfanyakazi kiwanda cha ubanguaji korosho kinachomilikiwa na Umoja wa Wanawake cha Demros cha Tanga, Hamza Vagi, akibangua korosho, vijana wengi wamekuwa wakikaa maskani kupiga soga ambalo halina maana na kuacha kujiajiri na kuweza kujipatia kipato kutokana na jasho lao.


  Wafanyakazi wa kiwanda cha ubanguaji korocho cha Demros cha mjini Tanga, Hamza Vagi (mbele) na Jaika Said (nyuma) wakibangua korosho, kiwanda hicho kinamilikiwa na umoja wa wanawake Tanga na kutoa ajira kwa zaidi ya vijana  50 wanawake na wanaume


No comments:

Post a Comment