Tuesday, January 19, 2016

FOLENI YA KUNUNUA UWONO BANDARI YA KIGOMBE TANGA

 Wachuuzi wa samaki bandari ya Kigombe  Tanga wakiwa katika foleni ya kununua samaki ndani ya maji, kutokana na uhaba wa samaki wachuuzi wengi hulazimika kuyafuata madau katika maji ili kuweza kupata samaki.



No comments:

Post a Comment