Thursday, January 14, 2016

SHULE YA JABIR BIN ZAIDI YA TANGA YAWA YA MFANO

  Wanafunzi darasa la kwanza shule ya Jabir Bin Zaid English Midium School ya Tanga wakiwa darasani ikiwa ni wiki ya kwanza ya  masomo 2016.
Shule ya Jabir Bin Zaid imekuwa shule ya mfano kwa kupasisha wanafunzi wanaoingia Form One kwa wanafunzi wake kuapata Point za juu jambo ambalo limewafanya wazazi na walezi kuwapeleka watoto wao shuleni hapo.








  Mwalimu wa darasa la kwanza shule ya Jabir Bin Zaid English Midium School ya Tanga, Moshi Rashid  akifundisha darasani ikiwa ni wiki ya kwanza ya masomo 2016.

No comments:

Post a Comment